#Local News

WANAHARAKATI WAANDAMANA KUPINGA MSWADA WA FEDHA 2024

Wanaharakati wamejiandaa kwa maandamano ya siku ya leo katika Wilaya ya Biashara ya Kati ya Nairobi kupinga mapendekezo ya Mswada wa fedha wa mwaka 2024.

Maandamano hayo yaliyopewa jina la Occupy Parliament yanatarajiwa kufanyike nje ya majengo ya bunge la kitaifa.

Mmoja wa waandalizi Boniface Mwangi amesema ⁠Wakenya kutoka kila sehemu ya nchi watakutana katika maeneo mbalimbali ya jiji kabla ya kuandamana hadi Bungeni.

Imetayarishwa na Janice Marete

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *