MAJERAHA YALITULETEA HASARA
Kocha wa Nzoia Sugar Charles Odera sasa analaumu ubutu wa washambulizi wake na majeraha kwa mwanzo wao mbaya katika ligi ya daraja la pili, NSL.
Nzoia, ambao walishushwa daraja kutoka ligi kuu msimu jana, walilambishwa 3-1 na Darajani Gogo wikendi iliyopita.
Nzoia kwa sasa wako nafasi ya 18 wakiwa na alama mbili pekee baada ya mechi nne.
Imetayarishwa na Nelson Andati
English 












































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































