#Local News

WAKENYA WAENDELEA KUSHINIKIZWA KUJIANDIKISHA KWA SHA

Wito umetolewa kwa wakenya kuendelea kujitokeza na kujisajili katika bima ya afya ya jamii SHA.

Akitoa wito huo mwakilishi wa kike katika kaunti ya Nyandarua Faith Gitao anasema kuwa mpango wa kujisajili na bima hiyo ukitekelezwa ipasavyo utatoa ulinzi wa afya na usalama wa kifedha kwa wakenya haswa walio na mapato ya chini.

Gitau aidha amesema kuwa katika taifa hili lenye changamoto za tharura za kiafya na gharama kubwa ya matgibabu SHA ndio suluhu la kipekee linaloweza kuondolea wakenya mzigo wa kifedha kuhakikisha wakenya wote wanapata matibabu bila wasi wasi wa kugharamia matibabu.

Imetayarishwa na Janice Marete

WAKENYA WAENDELEA KUSHINIKIZWA KUJIANDIKISHA KWA SHA

ELIJAH WACIRA: WIZARA YA AFYA YAKOSOLEWA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *