WANAHARAKATI WATAKA ZOEZI LA UFUKUZI WA MIILI KATIKA CHIMBO LA KWARE KUREJELEWA

Wanaharakati wa kutetea haki za kibinadamu wanataka kurejelewa kwa shughuli ya kutafuta na kuopoa mili katika chimbo la kware.
Wanaharakati hao wameibua madai kwamba kuna njama ya kuficha kwa kusimamisha zoezi la uopoaji katika chimbo hilo.
Imetayarishwa na Janice Marete