#Local News

ODINGA KUZIKWA JUMAPILI

Waziri mkuu wa zamani Raila Odinga atazikwa Jumapili hii nyumbani kwake katika shamba la Opoda, eneo bunge la Bondo kaunti ya Siaya.

Haya ni kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa na kamati ya kitaifa inayoongoza mipango ya mazishi, chini ya uongozi wa Naibu rais Kithure Kindiki.

Kindiki amekariri tangazo la Rais William Ruto kwamba mazishi ya Odinga yatapewa hadhi ya kitaifa.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

ODINGA KUZIKWA JUMAPILI

ODINGA KUREJESHWA NCHINI LEO

ODINGA KUZIKWA JUMAPILI

MAOMBOLEZO YA BABA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *