MALKIA STRIKERS KUSHIRIKI MICHEZO YA NNE YA OLYMPIKI

Timu ya kenya ya volebali ya wanawake inaendelea vyema mjini mramas nchini ufaransa ikizindisha matayarisho ya olympiki ya Paris itakayoanza wiki ijayo.
Washambuliaji wa Malkia Stikers watashiriki katika michezo yao ya nne ya Olympiki huku kocha mkuu Japhet Munala akieleza kurithishwa na maandalizi yao.
Imetayarishwa na Janice Marete