NTSA KUWAKAGUA MADEREVA
Ukaguzi upya wa madereva kubaini uwezo wao wa kuendesha magari ya uchukuzi ni miongoni mwa mikakati iliyoratibiwa katika juhudi za mamlaka ya usalama barabarani NTSA kudhibiti visa vya ajali.
Kulingana na mamlaka hiyo, watu elfu 21 wameathirika na ajali mwaka huu pekee, na kuwataka madereva kuwa waangalifu hasa msimu huu wa Krismasi.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 












































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































