#Local News

POLISI WAKANA KUVURUGA IBADA YA GACHAGUA

Idara ya polisi NPS imejitenga na madai kwamba maafisa wake walikuwa na nia ya kuvuruga ibada iliyokuwa ikihudhuriwa na aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua mtaani Kariobangi North jijini Nairobi, ikisema maafisa hao walikiwa wakizuia vurugu.

Kwenye taarifa, NPS imesema polisi walikuwa wakilizuia kundi la vijana kuingia kwenye kanisa hilo kabla ya kundi la pili kuwasili na kuzua vurugu, ndipo wakalazimika kuingilia kati ili kutuliza ghasia.

Gachagua amekosoa vurugu hizo zilizosababisha kujeruhiwa kwa watu 6.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

POLISI WAKANA KUVURUGA IBADA YA GACHAGUA

PVK YAKOSOA GHASIA ZA UCHAGUZI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *