#Local News

KATIBU WA KNUT TAWI LA TRANSNZOIA GEORGE WAFULA APIGIA DEBE MTAALA WA UMILISI CBC

Wakenya wengi haswa viongozi wamekuwa wakiupigia debe mtaala mpya wa elimu wa umilisi CBC wakiutaja kama suluhu la ukosefu wa ajira nchini.

Katibu mkuu wa muungano wa kitaifa wa walimu KNUT tawi la Transnzoia Gorge Wanjala ameutaja mtaala huo kuwa wenye manufaa tele kwa wanafunzi.

Wanjala aidha amesema kuwa mtaala huo ujnampa mwalimu fursa ya kutambua uwezo na talanta ya mwanafunzi na kuikuza na kwamba thana ya kwamba mtaala huo haukuza ushindani ni ya kupotosha.

Wanjala aidha ameiomba tume ya huduma za walimu TSC kuwaajiri walimu wa kutosha na vile vile kutenga raslimali za kutosha kujenga madarasa ,mahabara na vidimbwi vya kujogelea katika taasisi za elimu.

Imetayarishwa na Janice Marete

KATIBU WA KNUT TAWI LA TRANSNZOIA GEORGE WAFULA APIGIA DEBE MTAALA WA UMILISI CBC

MACHARIA AINGIA KATIKA MABANO YA MEDALI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *