TUSKER FC YALENGA KUSAJILI WACHEJAJI WAPYA

Klabu ya Tusker FC inalenga kuwasajili wachezaji wapya baada ya kuwaachilia wachezaji 11 ili kuboresha kikosi chake hata zaidi tayari kwa msimu wa 2024-2025.
Klabu hiyo imeanza mazungumzo na wachezaji kutoka vilabu mbali mbali ili kuwashawishi kujiunga nao kabla ya msimu wenyewe kungoa nanga rasmi.
Imetayarishwa na Janice Marete