#Local News

BLOOD PARLIAMENT: MAHAKAMA YATOA MUDA ZAID WA DPP

Ofisi ya Mkurugenzi wa mashtaka ya umma (ODPP) imeongezwa muda wa wiki tatu zaidi ili kukamilisha uchunguzi kuhusiana na kesi inayowakumba watengenezaji 4 wa filamu wanaohusishwa na utayarishaji wa Makala ya Blood Parliament yaliyopeperushwa na shirika la habari la kimataifa la BBC.

Kwenye uamuzi wake, mahakama imeongeza mda wa agizo linalozuia kukamatwa kwa 4 hao hadi uchunguzi utakapokamilika.

Aidha, mahakama pia imewaagiza chifu inspekta Nixon Kinyua na Mogaah Wekesa Wechuli kufika mahakamani tarehe 16 mwezi ujao.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *