#Local News #uncategorized

RUTO AOMBA TANZANIA, UGANDA KUISAMEHE KENYA

Rais William Ruto ameomba msamaha kwa nchi jirani ya Tanzania na Uganda iwapo Wakenya wamewakosea kwa njia yoyote ile, ili kurudisha amani na muunganao wa kitaifa, na jumuiya ya Afrika Mashariki.

Ruto amesema haya akiwa kwenye hafla ya maombi ya kitaifa, akiwaomba pia vijana wa Kenya kumsamehe iwapo amewakosea, hasa kuhusiana maandamano ya mwaka jana.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

RUTO AOMBA TANZANIA, UGANDA KUISAMEHE KENYA

MAGAVANA WALAUMU RAIS RUTO

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *