#Sports #Volleyball

KCB YAKATA NYORORO ZA PRISONS

Klabu ya voliboli ya KCB ilijiimarisha na kuvuna ushindi wa seti 3-0 dhidi ya Nairobi Prisons kwenye ligi ya wanawake ya shirikisho la voliboli KVF uwanjani Nyayo jijini Nairobi.

Vipusa hao wa benki walikata nyororo za magereza kwa seti 2 za 25-19 na 25-21, kocha mkuu Japheth Munala akiwaondoa wachezaji mahiri baada ya kuweka msingi katika seti 2 za mwanzo.

Ushindi huo ulijiri baada ya kichapo cha seti 3-2 dhidi ya Kenya Prisons.

Katika pambano jingine, Kenya Prisons ilipata ushindi rahisi dhidi ya KDF, ikiwanyuga seti 3-0 za moja kwa moja.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

KCB YAKATA NYORORO ZA PRISONS

MASWALI KUHUSU KIFO CHA JIRONGO

KCB YAKATA NYORORO ZA PRISONS

KENYA YAONGEZA MEDALI AFRICAN YOUTH GAMES

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *