#Local News

NCIC KUCHUNGUZA KESI 43 ZA MATAMSHI YA CHUKI

Tume ya Kitaifa ya Uwiano na Utangamano (NCIC) imetoa data kuhusiana na hali ya visa mbalimbali vya matamshi ya chuki ambayo inashughulikia.

Kulingana na Mwenyekiti wa NCIC, Samuel Kobia, tume hiyo imepokea kesi 67, 43 zikiwa chini ya hatua mbalimbali za uchunguzi. Kobia ameongeza kuwa kesi mbili ziko mahakamani, 13 zimekamilika huku nyingine 13 zikiwa zimesuluhishwa chini ya Sheria ya NCI ya 2008.

Kuhusu maswala ya mitandao ya kijamii, tume imeripoti kesi 44 za ubaguzi kati ya hizo 24 ni za uchochezi, 6 za matamshi ya chuki, 93 za habari potofu na 68 za upotoshaji jumla ya kesi 268.

Imetayarishwa na Janice Marete

NCIC KUCHUNGUZA KESI 43 ZA MATAMSHI YA CHUKI

KARANI WA BUNGE LA HOMA BAY ASIMAMISHWA KAZI

NCIC KUCHUNGUZA KESI 43 ZA MATAMSHI YA CHUKI

MATUMAINI MAKUBWA KWA MARY MORAA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *