POLISI KUBUNI KAMATI ZA KUKABILI UFISADI
Wakuu wa usalama wameagizwa kuanzisha kamati maalum za kukabiliana na ufisadi unaohusisha polisi kwenye kaunti kufuatia agizo la inspekta mkuu wa polisi.
Akiongea kwenye mkutano na wakuu wa usalama Mkuu wa polisi Douglas Kanja anasema hatua hiyo inachukuliwa kutokana na kukithiri kwa visa vya ufisadi anavyosema pia vinawahusisha wananchi.
Imetayarishwa na Maureen Makhobe
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































