NAIBU GAVANA WA KAUNTI YA UASIN GISHU KUAPISHWA LEO
Naibu gavana wa kaunti ya Uasin Gishu Evans Kapkea anatarajiwa kuapishwa hii leo mjini Eldoret.
Kapkea, mwenye umri wa miaka 34, na ambaye alikuwa Mbunge wa wadi ya Tembelio aliteuliwa na Gavana Jonathan Bii baada ya kujiuzulu kwa aliyekuwa naibu gavana wa kaunti hiyo John Barorot.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































