MBADI, WAZEE WA LUO WAKOSOA MALUMBANO ODM
Uongozi wa jamii ya Luo umehimiza mazungumzo kati ya mirengo kinzani ndani ya chama cha ODM, uongozi huo ukihofia uhasama kwenye chama hicho ikiwa miezi 4 tangu kifo cha kinara mwanzilishi marehemu Raila Odinga.
Kwenye mkutano na Waziri wa fedha John Mbadi, baraza la wazee wa jamii hiyo limekosoa vuta nikuvute inayoendelea chama, huku Waziri Mbadi akimkosoa katibu mkuu wa ODM Edwin Sifuna kwa madai ya kuipotosha jamii hiyo iondoke serikalini.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 










































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































