KARANI MPYA WA KAUNTI YA HOMA BAY HANNINGTON ABEKA AHIDI KUWAJIBIKIA MAJUKUMU YAKE BILA MAPENDELEO
Wakaazi wa kaunti ya Homa Bay wanatarajiwa utendakazi bora wa bunge la kaunti hiyo baada ya kupata Karani mpya.
Karani mpya wa Bunge la kaunti hiyo Hannington Abeka ameahidi kuhudumia bunge hilo bila mapendeleo.
Aidha ameweka wazi lengo lake ambalo kulingana naye ni kuhakikisha kuwa bunge hilo lina maadili mema.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































