ODM YATAKIWA KUWA NA MSIMAMO WA KISIASA
Naibu kiongozi wa chama cha DAP Kenya George Natembea ametoa wito kwa chama cha ODM kujiunga na serikali na kukoma kujihusisha na maswala ya upinzani kwa kuwa kulingana naye waliugura mrengo huo.
Natembea aidha amewaambia viongozi wa chama cha ODM wawe tayari kuwajibishwa na wakenya ifikapo mwaka 2027 katika uchaguzi mkuu.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































