RAIS ATAKIWA KUSITISHA UBOMOAJI
Rais William Ruto ametakiwa kuagiza kusitishwa kwa ubomoaji wa makazi na nyumba ambao umekuwa ukiendelea katika eneo la Athi River kaunti ya Machakos.
Kulingana na seneta wa kaunti hiyo Agnes Kavindu, hatua hiyo ni ukosefu wa heshima kwa familia zilizotumia fedha zao kujenga nyumba hizo ilhali baadhi ya ubomoaji unaendelea bila notisi kutolewa.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































