#Local News

MALALA ATEMWA

Kamati ya taifa ya chama cha United Democratic Alliance (UDA) umetupilia mbali uteuzi wa katibu mkuu wa chama hicho Cleophas Malala.

Katika taarifa iliyotolewa baada ya kikao cha asubuhi ya leo kamati hiyo imesema makamu mwenyekiti Hassan Omar sasa atakuwa katibu mkuu kwa muda.

Imetayarishwa na Janice Marete

MALALA ATEMWA

MIPANGO YA MAPEMA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *