WAZEE EMBU WADAI HONGO KATIKA KUMTIMUA GACHAGUA
Wabunge na maseneta wameendelea kushutumiwa kwa madai ya kupokezwa hongo kabla ya kumbandua kutoka mamlakani naibu rais Rigathi Gachagua, licha ya masuala yenye uzito yanayolikabili taifa.
Wa hivi punde kuibua madai hayo ni wazee wa jamii ya Embu, ambao wamewashutumu wabunge kwa madai ya ubinafsi.
Wakiongozwa na Fundi Jacob, wazee hao wamewataka wabunge kutoa kipaumbele kwa hamasisho kuhusu bima mpya ya afya ya jamii SHIF.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































