JIJI LA MIJENGO OVYO
Imeibuka kwamba asilimia 55 ya majengo jijini Nairobi si salama na yamo katika hatari ya kuporomoka iwapo patatokea mtetemeko wa ardhi wa kiwango chochote.
Haya ni kulingana na muungano wa watalaam wa mijengo, wakitaka hatua kali kuchukuliwa dhidi ya waliohusika kwenye ujenzi wa jengo lililoporomoka mtaani South C wakati wa ujenzi na kuwaua watu wawili.
Wamehusisha mkasa huo na ufisadi na ukiukaji wa sheria.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 



































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































