MAHAKAMA YATAKA STAKABADHIZA MATIBABU YA KALOMcBOTOLE
ImetayarishwaMahakama imeagiza Hospitali ya kitaifa ya Kenyatta kuwasilisha stakabadhi za matibabu ya mshukiwa wa mauaji ya mgonjwa katika hospitali hiyo Kennedy Kalombotole.
Hakimu Daisy Mutai ameitaka KNH Pamoja na hospitali ya Nairobi Womens kuwasilisha stakabadhi zinazoonyesha ugonjwa anaotibiwa mshukiwa huyo.
Kennedy ambaye anahusishwa na kifo cha mgonjwa huyo kwa jina Edward Maingi Ndegwa atazuiliwa kwa muda wa siku 21 katika kituo cha polisi cha Kilimani uchunguzi ukiendelea. na Maureen Mukhobe
Imetayarishwa na Maureen Mukhobe
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































