MAHAKAMA YALENGA KURAHISISHA HAKI

Jaji mkuu Martha Koome amezindua majopokazi 26 yatakayohakikisha uarahisi katika upatikanaji wa haki, hatua hiyo ikilenga kuhakikisha wananchi hasa walio maeneo ya mashinani wanapata huduma za kisheria kwa urahisi.
Kwa mujibu wa Koome, mikakati iliyowekwa tayari imezaa matunda, zaidi ya kesi 15,000 zikitatuliwa.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa