#Local News

ANGUSHA MSWADA MALIZA WALIMU WA JSS

Mwenyekiti wa kamati ya bajeti katika bunge la kitaifa Ndindi Nyoro amelitaka bunge kuwazia upya marekebisho yaliyopendekezwa na kamati ya fedha katika mswada wa fedha.

Kwa mujibu wa Nyoro baadhi ya idara zitaadhiriwa iwapo baadhi ya mapendekezo yataondolewa au kupunguza ambapo amepeana mfano na fedha zilizotengwa kuwaajiri walimu elfu 46 wa sekondari ya msingi JSS na vile vile fedha zilizotengewa maeneo bunge NGCDF.

Imetayarishwa na Janice Marete

ANGUSHA MSWADA MALIZA WALIMU WA JSS

WAZIRI WA FEDHA AANDIKA BARUA KWA BUNGE

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *