#Local News

SHOKA LA ODM LAWAANGUKIA WAASI BUNGENI

Wabunge wanaokosoa serikali jumuishi akiwemo Caroli Omondi, Anthony Kibagendi na mwakilishi wa kike wa kaunti ya Kisumu Ruth Odinga ni miongoni mwa waliofurushwa kutoka nyadhifa za uongozi wa bunge kutokana na msimamo wao, bunge likitishia kuwafurusha wakosoaji zaidi.

Omondi ambaye amekuwa akihudumu kama mwenyekiti wa kamati ya utekelezaji wa katiba bungeni, amefurushwa na wadhifa wake kukabidhiwa mbunge wa Githunguri Gathoni Wamuchomba, Omondi akisema hatua hiyo ni njama ya kuiba kura kwenye uchaguzi mkuu ujao.

Mbunge wa Kasipul Boyd Were, amechukua wadhifa wa kibagendi katika kamati ya uwekezaji wa umma kuhusu elimu na uongozi.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

SHOKA LA ODM LAWAANGUKIA WAASI BUNGENI

IEBC YATAKA BILIONI 1 KWA MAAKULI

SHOKA LA ODM LAWAANGUKIA WAASI BUNGENI

KESI YA MAUAJI DHIDI YA AFISA WA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *