#Local News

MAZUNGUMZO YA WANARIKA YAKARIRIWA

Pendekezo la kinara wa ODM Raila Odinga kuhusu kuwepo kwa mazungumzo ya wanarika tofauti tofauti ili kuimarisha mshikamano wa nchi limeungwa mkono na viongozi wanaoegemea mrengo wa Kenya Kwanza, wakisema ndiyo njia pekee ya kuhakikisha maendeleo ya taifa.

Wakizungumza katika maeneo mbali mbali ya nchi, viongozi hao aidha wamekariri agizo la Rais William Ruto kwa polisi kuwakabili wanaoharibu mali wakati wa maandamano.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

MAZUNGUMZO YA WANARIKA YAKARIRIWA

DIG LAGAT KUREJEA KAZINI LEO

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *