#Boxing #Sports

MUFUTU APONGEZA USHINDI WA ULINZI WARRIORS

Kocha wa Ulinzi Warriors, Benard Mufutu, amepongeza ushindi wa 62-26 dhidi ya Eldonets Platinum, akitaja mshikamano wa timu kuwa nguzo kuu.

Katika mechi hiyo, Ulinzi ilitawala kila robo huku Brans Nzioka akifunga alama 12 na Derrick Ochieng 11.
Strathmore Swords pia iliibuka na ushindi wa 44-33 dhidi ya The Swish, ingawa kocha Ronnie Owino hakuridhishwa na mchezo wa timu yake.

Imetayarishwa na Janice Marete

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *