MOTO WATEKETEZA MADUKA ENEO LA KESESI ELDORET

Wafanyibiashara eneo la kesesi wanakadiria hasara baada ya kuzuka kwa moto mkubwa ulioteketeza mali yao katika maduka ya vibanda vya talai Centre usiku wa kuamkia leo.
Wamiliki wa biashara hizo wamesema kuwa maduka ya nguo,sehemu za kuuza bidhaa na maeneo mengine ya kibiashara yaliteketea baada ya wazima moto wa eldoret kuchelewa kufika.
Imetayarishwa na Janice Marete