#Local News

WAKENYA WANAOISHI LEBANONI WATAKIWA KUJISAJILI ILI WAWEZE KUHAMISHWA

Wakenya wanaoishi nchini Lebanon wana hadi tarehe 12 mwezi huu wa Oktoba kujiandikisha kwa ajili ya kuhamishwa kutoka taifa hiyo baada yao kutafuta msaada kutoka kwa serikali ya Kenya kufuatia mashambulizi ya mara kwa mara yanayoshuhudiwa huko huku kukiwa na hofu ya kutokea kwa vita kimilili kati ya Israel na kundi la Esbola.

Katibu wa maswala ya Diaspora Roselyne Njogu anasema k,uwa makundi mamili ya kenya tayari yamehamishwa.

Imetayarishwa na Janice Marete

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *