RAIS RUTO AUKEJELI UPINZANI
Rais William Ruto amewakosoa viongozi wa upinzani kwa madai ya kuendeleza uchochezi nchini, akiwataka wakenya kujitenga nao kwa misingi kwamba hawana mpango wa kuendesha serikali.
Akizungumza katika kaunti ya Kakamega, rais amedokeza kuwa hatakabidhi mamlaka kwa upinzani anaoutaja kuwa usio na ajenda kwa wakenya.
Kauli yake ikisisitizwa na wandani wake waliokuwa wameandamana naye.
Imetayrishwa na Antony Nyongesa
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































