#Local News

OBURU ATEULIWA KUONGOZA ODM

Chama cha ODM kimemteua snenta wa Siaya Dakta Oburu Odinga kuwa kaimu kinara wa chama hicho kufuatia kifo cha kakae mdogo Raila Odinga aliyekuwa kinara wa chama hicho.

Katika mkutano wa baraza kuu la chama mapema leo,  ODM kwa kauli moja imekubali kwamba Oburu achukue uongozi wa chama hadi kamati ya uchaguzi itakapokaa tena kutoa mwelekeo.

Imeatayarishwa na Antony Nyongesa

OBURU ATEULIWA KUONGOZA ODM

MWILI WA ODINGA WAWASILI JKIA

OBURU ATEULIWA KUONGOZA ODM

WAKENYA WAMIMINIKA JKIA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *