RAIS BIDEN KUITEUA KENYA KATIKA NATO
Rais wa Marekani Joe Bidden anatarajiwa kuiteua kenya kuwa mshirika wake mkuu wa mataifa tasiyokuwa wanachama katika muungano wa kijeshi wa NATO kabla ya Rais William Ruto kukamilisha ziara yake
Kwa mujibu wa shirika la habari la kimatifa la AFP, Rais Bidden atatoa tangazo hilo baadaye wakati wa kikao na wanahabari.
Akizungumza baada ya kumpokea Ruto, Bidden ametangaza kuendelea kushirikiana na Kenya kuimarisha demokrasia na sekta ya teknolojia na uvumbuzi.
Kwa upande wake, Rais Ruto ameipigia Kenya katika sekta za uvumbuzi na teknolojia.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































