#Local News

SERIKALI YAKADIRIA UKUAJI WA UCHUMI

Uchumi wa taifa unatarajiwa kukua kwa asilimia 5.3 mwaka huu wa 2026 kutoka asilimia 4.7 mwaka 2024 huku serikali ikiendeleza mikakati ya kuimarisha udhabiti wa uchumi, kuongeza ukusanyaji wa mapato ya taifa na kukuza sekta muhimu.

Akiwa mbele ya kamati ya bunge la kitaifa kuhusu bajeti, Waziri wa fedha John Mbadi, amesema shilingi trilioni 3.45 zimetengewa matumizi ya kawaida ya serikali kwenye mapendekezo ya bajeti ya shilingi trilioni 4.7 ya mwaka wa kifedha wa 2026-27.

Shilingi bilioni 749.5 zimeelekezwa kwenye miradi ya maendeleo, na zo serikali za kaunti zikiongezewa mgao hadi shilingi bilioni 495.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

SERIKALI YAKADIRIA UKUAJI WA UCHUMI

RUTO APOKEA MABALOZI WATATU NCHINI

SERIKALI YAKADIRIA UKUAJI WA UCHUMI

EACC YAINUA MJELEDI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *