#Local News

POLISI WAWATAWANYA WAHADHIRI WANAOGOMA NAIROBI

Polisi jijini Nairobi wamewatanya kwa kuwarushia vitoza machozi wahadhiri waliokuwa wakiandamana wakilalamikia kutoketekelezwa kwa mkataba wao wa maelewano.

Wahadhiri hao ambao wanapanga kuwasilisha hoja kwa bunge la kitaifa, wamekanusha madai ya Waziri wa elimu kwamba wameafikiana kurejea kazini, wakisema hawatatia Saini mkataba ambao unawabagua baadhi yao.

Wakiongozwa na katibu mkuu wa UASU Constantine Wasonga, wahadhiri wameapa kuendelea na mgomo.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

POLISI WAWATAWANYA WAHADHIRI WANAOGOMA NAIROBI

MASAIBU YA GACHAGUA SI YA LEO, WAMUCHOMBA

POLISI WAWATAWANYA WAHADHIRI WANAOGOMA NAIROBI

RUTO: UN IFANYIWE MAGEUZI KUZUIA MIGOGORO

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *