#uncategorized

WAHADHIRI, WAFANYAKAZI WA MOI WAENDELEZA MGOMO

Shughuli za masomo katika chuo kikuu cha Moi zimeendelea kusambaratika kufuatia mgomo wa wahadhiri na wafanyakazi wa chuo hicho, ambao hii leo wameandamana hadi katika bunge la kaunti ya Uasin Gishu jijini Eldoret na kuwasilisha hoja yao kwa spika wa bunge hilo Philip Muigei.

Wakiozngozwa na naibu katibu mkuu wa UASU eneo hilo Nyabuta Ojuki amesema kwamba matakwa yao hayajatekelezwa, na kuapa kwamba wataendelea na mgomo wao licha ya UASU na KUSU kutangaza kusitishwa kwa mgomo wao.

Aidha, wamedai kwamba licha ya matozo ya zaidi ya shilingi bilioni 5.5, fedha hizo hazijawasilishwa kwa mpango wa malipo ya uzeeni.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

WAHADHIRI, WAFANYAKAZI WA MOI WAENDELEZA MGOMO

SHA YAPIGWA JEKI NA KEMSA

WAHADHIRI, WAFANYAKAZI WA MOI WAENDELEZA MGOMO

SENETA MAANZO; WABUNGE WALIKOSA KUPEWA PESA NA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *