WAKUU WA MATAIFA WAWASILI NYAYO
Wageni mashuhuri wamefika katika uwanja wa michezo wa Nyayo kuhudhuria ibada ya kitaifa ya mazishi ya aliyekuwa Waziri mkuu Raila Odinga inayoendelea kwa sasa.
Miongoni mwao ni rais wa zamani wa Tanzania Jakaya Kikwete na makamu wa rais Philip Mpango, ambao wamepokelewa katika uwanja wa JKIA na alieyekuwa makamu wa rais wa Kenya Kalonzo Musyoka.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 











































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































