MAGAVA WAPINGA MAJARIBIO YOTE YA KUPUNGUZA MGAO WA SERIKALI ZA KAUNTI

Magavana wameendelea kupinga hatua zozote zinazolenga kupunguza mgao wa kaunti kutoka bilioni 400 hadi bilioni 380.
Wakiwa mbele ya kamati ya seneti ya bajeti wameonya kuwa kupunguzwa kwa fedha za kaunti kutahujumu utendakazi wa sekta muhimu kama vile sekta ya afya.
Imetayarishwa na Janice Marete