KURIA AWASUTA VIONGOZI WANAOUNGA ONE MAN ONE VOTE ONE SHILING

Waziri wa huduma za umma Moses Kuria amepinga vikali mfumo wa One Man One Vote One Shilling
Akizungumza katika kaunti ya Kiambu kuria ametaja mfumo huo kuwa wa kuwagawanya wakenya kwa misingi ya kimaeneo na kikabila
Kuli ya kuria inajiri baada ya kuhapa kutojihusisha na maswala ya kisiasa hadi mwezi agosti mwaka huu
Imetayarishwa na Janice Marete