VIONGOZI WAWASHAURI VIJANA WAJIHAMI KWA KURA
Viongozi mbali mbali nchini wametoa wito kwa vijana kujitokeza kwa wingi na kujiandikisha kama wapiga kura katika zoezi linaloendelea nchini baada aya kuzinduliwa na tume ya IEBC.
Akizungumza katika eneo bunge lake, mwenyekiti wa muungano wa wabunge wa Magharibi mwa nchi ambaye pia ni mbunge wa Sirisia John Waluke, amesema hiyo ndiyo njia ya pekee kwa vijana kuleta mageuzi ya uongozi wanayopambania.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 


























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































