BARAZA LA WATU WANAOISHI NA ULEMAVU LAANZISHA KAMPENI KUWASAIDIA WALEMAVU
Baraza la kitaifa la watu wanaoishi na ulemavu limeanzisha kampeni ya kuwasaidia watu wanaoishi na tawahudi au autism, Cerebral Palsy, kifafa na down syndrome.
Mkurugenzi mtendaji Aron Hassan anasema kuwa tayari wamewatambua wagonjwa 18000 waliokuwa wakiishi na autism jambo ambalo kulingana naye ni garama kubwa kuwatibu.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































