TOLEO LA TATU LA NAIROBI CITY MARATHON LIMEAHIRISHWA

Shirikisho la riadha nchini na kamati ya maandalizi ya nairobi city marathoni zimetangaza kuahirishwa kwa toleo la tatu la mashindano hayo
Kwa mujibu wa kamati andalizi mbio hizo zimesitishwa kwa sababu zisizoweza kuepukika na kwamba hafla hiyo itafanyika septemba tarehe nane mwaka huu
Imetayarishwa na Janice Marete