#Local News

UPINZANI WAKOSOA ‘UTEPETEVU’ NPS

Muungano wa upinzani umeikosoa serikali kwa madai ya kuruhusu polisi kutumia nguvu kupita kiasi, mbali na njama ya kuwaficha maafisa wa polisi wanaokiuka sheria wanapokuwa kazini.

Wakiongozwa na aliyekuwa Waziri wa usalama wa kitaifa Fred Matiang’i, viongozi wa muungano huo wameshutumu vuta nikuvute iliyoshuhudiwa nje ya uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kisumu, na kuwataka waliohusika kukamatwa.

Kauli yake imesisitizwa na kinara wa DAP-K Eugene Wamalwa.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

UPINZANI WAKOSOA ‘UTEPETEVU’ NPS

KINOTI KIARA AIPA KENYA UBINGWA WA AFRIKA

UPINZANI WAKOSOA ‘UTEPETEVU’ NPS

WANDANI WA KINDIKI WATETEA ‘TONGE’ 

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *