#Local News

MASOMO YA VYUO VYA UMMA PEMBAMBA

Serikali ina muda wa siku 7 pekee kuingilia kati na kuangazia matakwa ya wahadhiri ili kuepusha kusambaratika kwa shughuli za masomo katika vyuo vikuu vya umma nchini.

Hii ni baada ya muungano wa wahadhiri nchini UASU kutoa notisi ya mgomo, ukiitaka serikali kutekeleza makataba wa maelewano la sivyo waanze mgomo kuanzia Septemba 17.

Kulingana na katibu mkuu wa UASU Constantine Wasonga, serikali imeshindwa kulipa shilingi bilioni 3.27 za mkataba huo na hivyo kuwaacha wahadhiri na changamoto za kifedha.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

MASOMO YA VYUO VYA UMMA PEMBAMBA

WAWAKILISHI WADI WA GUSII IKULU

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *