#Sports

KIKOSI CHA KENYA TOKYO

Washindi wa medali za dhahabu za Olimpiki Faith Kipyegon, Beatrice Chebet na Emmanuel Wanyonyi wataongoza kikosi cha Kenya kitakachoshiriki Riadha za Dunia Tokyo 2025.

Athletics Kenya ilichagua kikosi chenye nguvu cha wachezaji 58 wakati wa majaribio hayo yaliyofanyika katika uwanja wa Ulinzi Sports Complex siku ya Jumanne, na bodi inayosimamia riadha inaamini kuwa Kenya imekusanya safu bora zaidi ya mechi za Septemba 13-21.

Kikosi cha Kenya kitatamani kuongeza idadi ya medali ya toleo la 2023 baada ya kujinyakulia medali 11 – dhahabu tano, fedha mbili na shaba nne – kumaliza nafasi ya pili nyuma ya Marekani katika msimamo wa jumla wa Oregon.

Wengine watakao wakilisha kenya ni Alex Ngeno (m 800), Brian Komen (m 1500), Celestine Biwott (mita 3000 kuruka viunzi) na Geoffrey Kipkemoi (mita 3000 kuruka viunzi) wanawania sana kadi za dunia za Diamond League kulingana na nyakati zao za juu.

Imetayarishwa na Nelson Andati

KIKOSI CHA KENYA TOKYO

DILI IPO HAIPO?

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *