MFUMO MPYA WA KUTUMA MAOMBI YA MIKOPO UKO SAWA
Wazazi, wanafunzi na washikadau mbali mbali katika sekta ya elimu wametakiwa kupuuza madai ambayo yamekuwa yakisambazwa kuhusiana na mfumo mpya wa kutuma maombi ya mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kwa madai kwamba ni porojo tu zisizokua na ukweli wowote.
Akizungumza wakati wa kuwahamazisha wazazi na wanafunzi kuhusu mfumo huo prof Solomon Shibairu mfumo huo haulengi kumtoza mwanafunzi au mzazi karo zaidi bali unalenga kumpunguzia mzazi mzigo wa karo ya shule.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































