#uncategorized

NAIBU RAIS RIGATHI GACHAGUA AHUDHURIA IBAADA YA WAFU YA WAADHIRIWA WA MAFURIKO MAIMAHIU

Rais Rigathi Gachagua, gavana wa nakuru Susan Kihika , mbunge wa naivasha Jane Kihara na viongozi wengine walihudhuria ibaada ya wafu ya watu 61 walioaga dunia kutokana na mafuriko eneo la maimahiu kaunti ya Nakuru.

Mkasa huo ulitokea tarehe 29 mwezi wa aprili ambapo  bwawa la old Kijabe lilivunja kingo zake na kusababisha mafuriko eneo hilo.

Kanisa limeiomba serikali kuhakikisha waadhiriwa wanafidiwa kikamilifu ili kuwawezesha kuendelea na Maisha yao hata baada ya mkasa.

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *