WITO WA WANAHARAKATI MAKUENI KWA WABUNGE
Wanaharakati katika kaunti ya Makueni wamewataka wabunge kuutupilia mswada unaolenga kupiga marufuku maandamano karibu na baadhi ya taasisi za serikali uliowasilishwa bungeni na mwakilishi wa kike kaunti ya Nairobi Esther Passaris.
Kulingana nao, mswada huo unakandamiza haki ya maandamano na ikiwa utapitishwa basi utalirejesha nyuma taifa.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































