#Local News

GACHAGUA: KURIA ANATUMIWA KUGAWANYA MLIMA

Kinara wa chama cha DCP Rigathi Gachagua ameibua madai kwamba aliyekuwa mshauri wa Rais kuhusu masuala ya kiuchumi Moses Kuria anatumiwa na serikali ya Kenya Kwanza kugawanya kura za eneo la Mlima Kenya ukiwemo uchaguzi mdogo wa Mbeere North.

Akihojiwa na runinga moja nchini, Gachagua amesema lengo ni kuhakikisha kuwa eneo hilo halimpigii mgombea mmoja wa urais kura kwenye uchaguzi mkuu ujao.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

GACHAGUA: KURIA ANATUMIWA KUGAWANYA MLIMA

MATOKEO YA KJSEA KUTOLEWA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *